Wednesday, 5 July 2017

AMREF HEALTH AFRICA YAJA NA MIKAKATI MIZITO KUTOKOMEZA VIFO VYA MAMA MJAMZITO

Mwakilishi wa AMREF amesema kutoa mikopo kwa kuwasomesha Wakunga wazalishaji na kuwaendeleza wakunga walioishia kwa ngazi ya cheti lengo kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto wanaozaliwa AMREF imeanzishwa mwaka 1957 na sasa imewasomesha wakunga wengi na wamewapeleka vijijini hivyo wamesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza vifo vya mama mjamzito na mtoto wameiomba serikali na taasisi nyingine wawaunge mkono ili kutokomeza vifo vya mama wajawazito na mtoto

habari picha na  ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment