Mratibu wa mawasiliano na afisa habari wa shirika ya idadi ya watu tanzania UNFPA amewataka watanzania waache mila potofu na dhana potofu katika matumizi ya kutumia njia bora na salama za uzazi wa mpango amesema kuwa UNFPA nchini Tanzania inawafikia watanzania kwa kiasi kikubwa mijini na vijijini katika kuwapatia elimu kuusu njia za uzazi wa mpango kwa kutumia vyombo vya habari,semina,wanawatumia wadau mbalimbali kwenye vituo vya afya ,viongozi wa kidini na viongozi wa jadi na kimila pia amewatoa ofu watanzania juu ya kutumia njia za uzazi wa mpango lengo nikuwa na idadi kamili
habari picha VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment