Thursday, 13 July 2017

MWENYE KITI WA TAMFI AIPONGEZA SERIKALI YA TANZANIA

JOELI MWAKITALU mwenye kiti wa TAMFI ameipongeza serikali ya tanzania kwa kuiwezesha TAMFI kwa kuipa pesa mbalimbali kwaajili ya kuendesha sughuri zao  amesema TAMFI inakabiliwa na changamoto mbalimbali ususani katika kuwafikia watu wa vijijini ivyo ameiomba serikali iweze kutengeneza miundo mbinu ya barabara lengo waweze kuwafikia wananchi kwa uraisi ametoa wito kwa jamii wajiunge na TAMFI ili waweze kunufaika na mikopo

habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment