ABUU YASIRI ni mwakilishi kutoka kampuni ya GARLAXY COMPUTERS amewataka watanzania wanunue bidhaa zao ikiwemo wino na bidhaa zingine kwani bidhaa zao ni bora na bei nafuu amewataka watanzania waachane na zana potofu za kutoamini bidhaa mpya asa kutoka kampuni ya GALAXY COMPUTERS ametoa wito kwa serikali iwaunge mkono wajasilia mali wadogo wadogo na watengeneze mazingira rafiki ya ulipaji kodi kwa wafanya biashara
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment