Tuesday, 4 July 2017

TGNP YATOA ELIMU KWA VIJANA KWA NGAZI YA CHINI

Mwakilishi wa TGNP amesema  wameamua kuwafikia vijana kwa ngazi ya chini  kwa kuwapa elimu kuusu uwelewa wa kupinga maswala ya ukatili wa kijinsia lengo wawe mabarozi katika kupinga vitendo vya kijinsia zikiwemo ndoa za utotoni , mimba za utotoni, ubakaji ,urawiti na mila potofu haya amezungumza wakati akiwapa semna vijana

habari pixcha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment