Monday, 10 July 2017

EQUITY BENKI YAJIVUNIA HUDUMA BORA

Kiongozi wa benki ya EQUITY amesema wanajivunia kwa kutoa huduma bora kwa wananchi amewataka watanzania watembelee banda lao kwenye maonyesho ya 41 ya sabasaba waweze kufunguwa akaunti kwani kwa Tanzania wameenea kwa kiasi kikubwa pia wakiwa nje ya nchi wanapata huduma ya kutoa pesa kwenye benki yeyote ametoa wito kwa wajasiliamali wafunguwe akaunti ya EQUITY ili waweze kupata mikopo nafuu

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment