Mkuu wa mkoa wa dar es salaam POO MAKONDA ameridhishwa na hatuwa ya ujenzi ulivyofikia kwenye wodi ya mama wajawazito katika Ospitali ya AMANA iliopo manispaa ya Ilala jijini dar es salaam wodi hii itakuwa na uwezo wa kubeba vitanda 150 na kuweza kusaidia kuondoa mrundikano wa mama wajawazito kabla ya kujifungua na baada ya kujifungua Lengo laujenzi wa wodi hii nikutekeleza kwa vitendo kauli ya rais MAGUFULI kwa kutoa huduma bora kwa jamii na kunusuru vifo vya kina mama wajawazito na watoto wanao zaliwa Mkoa wa dar es salaam utakuwa na jumla ya vitanda 450 vya mama wajawazito na watoto katika manispaa za Kinondoni, Temeke na Ilala pindi mradi wodi hizi zitakapo kamilika na rais MAGUFULI ndeye atakayezinduwa ametoa rai kwa wadau mbalimbali kujitokeza kuchangia ujenzi mbalimbali hapa jijini dar es salaam ili kuwasaidia watumishi kufanya kazi katika mazingira bora
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment