Tuesday, 4 July 2017

KAMPUNI YA MAZAO YA KILIMO YAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA KWA KUTOA MBEGU BORA KWA WAKULIMA

Mratibu wa SEED CO  na uhusino wa kampuni hii amesema SEED CO  wao wanatoa mbegu bora na za kisasa kwa wakulima na zinazo zingatia usalama wa Afya na  tija ya uzalishaji kwa wakulima ambako umsaidi mkulima kupata mazao kwa wingi ali ya hewa ya mabadiliko ya tabia ya Nchi na wadudu imekuwa changamoto kwa wakulima SEED CO inatoa mbegu zao kwanchi za Afrika 15 pia wakazi wa LINDI  na MTWARA  Watafunguliwa maduka na SEED CO  ametoa wito kwa serikali waongeze wigo mpana kwa uwekezaji wa kilimo

habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment