Monday, 3 July 2017

AICC YAJA NA MBINU MPYA YA KUONGEZA KODI NCHINI KUPITIA MIKUTANO YA KIMATAIFA

MKUNDE SENYAGA MOSHI mkurugenzi wa masoko wa AICC na JENICC wamekutana na wadau mbalimbali lengo ni kutoa elimu na kuongeza uwelewa kuusu utalii wa mikutano kwani biashara ya mikutano ya utalii inasaidia kwa kiasi kikubwa  kuongeza pato la Taifa ivyo wanaishauri serikali kuunda kwa alaka zaidi chombo cha kutafuta mikutano nje ya nchi kwani kutqasaidia kuongezeka kwa ajira  kwavijana  na mapato na tutapata mikutano zaidi ya 300

habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment