Tuesday, 11 July 2017

OSPITALI YA MKOA YA TEMEKE YAELEZA MIKAKATI KUUSU IDADI YA WATU

Muuguzi FRAMANI SWAI amesema kutoa elimu kuusu  kutumia njia bora za uzazi wa m,pango ni njia bora yenye lengo la watanzania waweze kuwa na watoto ambao wataweza kuwahudumia bila matatizo ikiwemo kuwapeleka shule na kuwapa huduma za kiafya bila matatizo amesema haya siku ya kilele cha idadui ya watu dunuiani ambapo imeazimishwa kwenye viwanja vya mwembe yanga wilaya ya Temeke jijini dar es salaam alivyo tembelewa  na kaimu mwakilishi mkazi wa shirika la idadi ya watu duniani UNFPA Dkt. ASHINA na naibu katibu mkuu wa wizara ya AFYA JINSIA WATOTO na WAZEE ameiomba serikali na UNFPA wawapatie dawa pamoja na wataalam kwani ni wachache ambapo kauli mbiu ni uzazi wa mpango kuwezesha watu na kuendeleza mataifa

habari picha na VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment