Thursday, 20 July 2017

KAMPUNI ZA FORODHA ZATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA

Katibu mkuu wa mawakala wa FORODHA  wanashuurika na utoji wa mizigo bandarini TONI SWAI amezitaka kampuni za FORODHA  apa nchini zijiytokeze kwenye mkutano utakao fanyika tarehe 23/8/2017 ambao utafunguliwa na mgeni rasmi rais JONH POMBE MAGUFULI ambao utaudhuliwa na wageni kutoka nje ya nchi zaidi ya 150 ivyo watanzania kupitia mkutano huu watapata fursa ya kuingia ubia na makampuni ya kigeni katika kufanya kazi na watanufaika kutofanya kazi bila vikwazo na bila ushindani wowote katibu mkuu TONI SWAI amewataka wadau mbalimbali wajitokeze katika kuakikisha mkutano huu unafanyika pia amewapongeza TPA kwa kufadhiri mkutano huu  pia amezungumzia kiwango cha pesa ya kushiliki kwenye mkutano ni dola150 pia mkutano huu utaudhuliwa na wawekezaji mbalimbali  ametoa wito kwa sekta mbalimbali za nchini Tanzania na wafanya biashara kubwa na ndogo wajitokeze kwa wingi kwenye mkutano ili waonyeshe bidhaa zao na kuzitangaza pia amewataka wale ambao awajajiandikisha wajiandikishe alaka kwani nafasi zimebaki chache

habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment