Tuesday, 11 July 2017

WANAUME WATAKIWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KUTUMIA UZAZI WA MPANGO

KATHIBATI MEI MAENDA  kutoka asasi ya kiraia  inayoshuulika na kutoa elimu kwa wanaume  kuusiana na uzazi wa mpoango amesema wanaume ni vema washiriki kikamilifu  kutumia njia za uzazi wa mpango na malezi ya watoto kwani kutasaidia kuwwepo kwa ongezeko la watu lenye tija KATHIBATI amesema mkoa wa SINGIDA wamekuwa na mwamko mkubwa kwa kutumia njia za uzazi wa mpango na wamewewza kuamasisha wa naume pia wanawake wameweza kuamasika kutumia njia za uzazi wa mpango Swala la ukosefu wa madawa na watumishi imekuwa ni kikwazo katika uzazi wa mpango ivyo ametoa wito kwa serikali na wadau mbali mbali watatue changamoto ya madawa na watumishi

habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment