Wednesday 29 May 2019

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 30, 2019





















MADAKTARI BINGWA WA MIFUPA MOI WAPEWA MBINU MPYA ZA UPASUAJI

 Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface akitoa hotuba ya ufunguzi wa kongamano la kimataifa la madaktari bingwa wa mifupa linalofanyika Tanzania (MOI) Kuanzia tarehe 26 -30 May 2019 katika ukumbi mpya wa mikutano MOI. (PICHA ALLY THABITI)
 Madaktari wa Mifupa kutoka mataifa mbalimbali wakifuatilia mada katika kongamano la kimataifa linalofanyika MOI
 Madaktari wa Mifupa kutoka mataifa mbalimbali wakifuatilia mada katika kongamano la kimataifa linalofanyika MOI
 Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface akizungumza na waandishi wa Habari (Hawapo pichani) katika kongamano la kimataifa la madaktari bingwa wa mifupa linaloendelea Kuanzia tarehe 26 -30 May 2019 ukumbi mpya wa mikutano MOI

NA KHAMISI MUSSA


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI Dkt. Respicious Boniface leo amefungua kongamano la kimataifa la madaktari wa Mifupa linalofanyika kwa siku tano hapa Tanzania ambapo madaktari zaidi ya 150 kutoka mataifa ya Afrika na sehemu mbalimbali duniani wanashiriki.


Dkt. Boniface amesema Kongamano hilo limekua likifanyika hapa nchini kila mwaka kwa lengo la kuwajengea uwezo na kuwapa mbinu mpya za matibabu ya mifupa madaktari hapa nchini na nchi nyingine barani Afrika kutokana na MOI kuwa kituo cha mafunzo na huduma bora za mifupa inazotozitoa.


“Madaktari bingwa wetu hapa nchini wamekua wakinufaika sana na kongamano hili, wamekua wakipewa mbinu mpya na za kisasa za matibabu na upasuaji wa mifupa jambo ambalo limepelekea MOI kuweza kumaliza rufaa za nje ya nchi kwa wagonjwa wa mifupa ambapo kwa sasa huduma karibia zote zinapatikana hapa nchini” Alisema Dkt Boniface.


Mratibu wa Kongamano hilo Dkt. Joseph Mwanga amesema mafunzo yatatolewa kwa njia ya nadharia, vitendo katika chumba cha maabara kwa kutumia mifupa bandia na kwenda kwenye chumba maalum cha kujifunzia kwa kutumia miili ya binadamu (Cadavers).


“Kongamano hili limekua na manufaa makubwa sana kwetu, tumekuwa tukipata mbinu mpya kila mwaka kutoka kwa wenzetu wa Marekani jambo ambalo limefanya huduma za mifupa hapa nchini ziendelee kuwa bora ukilinganisha na mataifa mengine barani Afrika” Alisema Dkt Mwanga.


Kwa upande wake Profesa Michael Terry ambaye ni mkufunzi kutoka Chuo Kikuu cha Calfonia cha San Francisco amesema ushirikiano kati ya Taasisi yake na MOI umejikita katika mafunzo ya namna ya kuwahudumia majeruhi wa ajali kwa lengo la kuwapa huduma bora na za kisasa kwa wakati.


Kongamano hilo limeratibiwa na Taasisi ya MOI kwa kushirikiana na Taasisi za IGOT, SIGN, OTA, AO Alliance na Chuo kikuu cha Calfonia San Fransisco Marekani.

Mratibu wa Kongamano la Kimataifa la madaktari Bingwa wa Mifupa Dkt Joseph Mwanga akizungumza na waandishi wa habari baada ya ufunguzi wa kongamano hilo.
Mkufunzi kutoka Chuo Kikuu cha Calfonia cha San Francisco, Profesa Michael Terry akizungumza na waandishi wa habari baada ya ufunguzi wa kongamano la kimataifa la madaktari wa mifupa duniani.

Monday 27 May 2019

MTEMVU FOUNDATION YATOA MSAADA WA VYAKULA KWENYE MAKUNDI MAALUMU

Mwenyekiti wa Mtemvu Foundationi na aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Jijini Dar es Salaam  alisema; Tukiendeleza Desturi yetu karibu mwaka wa 17 kutoa vitu kama hivi vyakula na vitu mbalimbali kwa makundi ya yatima, makundi ya wajane, makundi ya wasio jiweza, wenzetu walemavu na kadhalika.

Kwahiyo mwendelezo huu ni wakila mwaka na tutaendelea kutoa kadiri Mungu atakavyotujalia afya na nitoe wito wangu ambao ni uleule wa kila siku kwamba kutoa ni moyo na tujitahidi kila mtu ukiwa na kidogo toa na hata ukiwa na nguo 10 au 20 najuwa huvai zote unaweza kutoa nguo mbili tatu kusaidia nduguzetu watanzania najuwa watanzania ni wakarimu tuendelee kusaidia wasio jiweza katika mwezi wa Ramadhani na miezi mingine yote ambapo na mama Mtemvu alisema;

Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kufanikisha azma yetu ya kila mwaka mara ifikapo mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambapo sasa miaka 17 mfululizo

Hutoa tulicho jaaliwa katika vitu mbalimbali kwa watoto yatima, walemavu na makundi mengine yote tunayo hapa, kutoa hivi sikama vitatosheleza lakini angalau wanafarijika na wanaona kunawatu wanao wakumbuka, wito wangu ni kwamba wadau wengine wajitokeze kuwasaidia wenzetu hawa


    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akimkabidhi Jasmin John kutoka kundi maalumu la Kinamama wenye ulemavu msaada kwa ajili ya kundi hilo.








Tuesday 14 May 2019

MKUU A USALAMA BARABARANI ATANGAZA VITA KALI KWA WATAKAO GOMA.


Mkuu wa usalama barabarani Jeshi la Polisi Fotonatusi Muslim amewataka Madereva waendesha mabasi mikoani kutogoma tarehe 15/5/2019 kwani atakae subutu kufanya mgomo atuakali zitachukuliwa zidi yake kwa upande mwengine tena Kaimu mkurugenzi mkuu wa sumatra Lameck Kamando amesema madai wanayodai madereva wa mabasi juu ya tozo ya V.T.S. hayana mashiko na pia anayeeneza na kusambaza habari hizi za mgomo ni mamluki hivyo amewataka watanzania wote hapa nchi kujitokeza kwenye vituo mbalimbali vya mabasi kwa ajili ya safari zao kani safari zipo kama utaratibu ulivyopangwa siku zote.

Habari Picha na
Ally Thabiti. 

PROF. MUTEMBEI APAISHA KISWAHILI ANGA ZA KIMATAIFA


Prof. Mutembei ameweza kufanya kongamano la wanahabari wanaotumia lugha ya kiswahili toka nchi mbalimbali hapa duniani lengo kuitangaza na kuikuza lugha ya kiswahili duniani kote.

Habari Picha na
Ally Thabiti

UKATILI WA WATOTO NI TISHIO KWA WATANZANIA


Afisa utafiti wa LHRC Joyce Komanya amesema swala la ukataili wa watoto ilimekuwa kubwa hapa nchini Tanzania ambako watoto hao ubakwa na kulawitiwa na hatimae kupata mimba na kukosa masomo.

Ametoa wito kwa Serikali wafute zamana zidi ya watu wanao baka na kulawiti na sheria kali wachukuliwe. amasema haya kwenye uzinduzi wa ripoti ya taasisi ya LHRC jijini Dar es salaam Selena Serena.

Habari Picha na
Ally Thabiti

SUDI AWAHASA WATANZANIA

Mwenyekiti aliyeandaa mashindano ya Quran Sudi ameataka watanzania wawapeleke watoto wao kusoma Quran kwani ni kitabu cha menyezi mungu pia kasema watazidi kuandaa mashindano ya Quran ili kuikuza Quran hapa nchini

Habari Picha na
Ally Thabiti

KIJANA A TANZANIA ANG'ALA MASHINDANO YA QURAN

Omary emeibuka kuwa mshindi kwenye mashindano ya kusoma Quran ya Arika mashariki na kati amewataka vijana wengine wasome Quran.

Habari Picha na
Ally Thabiti

Thursday 9 May 2019

TGNP MTANDAO YAWEKA MIKAKATI MIZITO JUU YA UKATILI WA KIJINSIA



Mkurugenzi wa TGNP MTANDAO Lilian Liundi amesema watazidi kuimalisha jenda klabu shule za msingi na Sekondari kwa kuwapa mafunzo na elimu juu ya kupinga na kukabiliana dhidi ya ukatili wa kijinsia lengo kupata viongozi bola na wasomi huku akiwataka wazazi na walezi kuweza kuwafundisha watoto wao juu ya mabadiliko ya kimwili.

Habari Picha na
Ally Thabiti.

PICHANI WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI WAKIJADILI MASWALA YA KIJINSIA


TGNP Mtandao imewakutanisha wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili na kuwaongezea uwelewa juu ya maswala ya kukabiliana na ukatili wa kijinsia ikiwemo Ubakaji, Urawiti, Imba za Utotoni na Ndoa za Utotoni pindi watakapo kukutananazo watoe taalifa kwa walimu au wazazi.

Habari Picha na
Ally Thabiti

FORUM CC YAJA NA MWAROBAINI WA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI


Mkurugenzi mtendaji wa FURUM CC Rebeka Muna amesema ilituwe kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi ni vyema serikali iweke sela mazubuti kwa kila wizara zitazohusu juu ya mabadiliko ya tabia ya nchi pia asasi mbalimbali za kiraia na zisizo za kiraia zisisite kupaza sauti na kutoa elimu kwa jamii ya vijijini na mijini juu ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.

Pia amezungumzia swala la Nishati ya mkaa na ameitaka serikali kutekeleza kwa vitendo mkataba wa makubaliano juu ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi uliosainiwa mwaka 2015 nchini Ufarasa na serikali ukalizia kutekeleza mkataba huu.

Pia ameitaka serikali itumie tafiti na ripoti zinazotolewa na asasi mbalimbali ikiwemo FORUM CC kwani tutafanikiwa kwa kiasi kikubwa kukabiliana na kuondoa tatizo la madiliko ya tabia ya nchi hapa nchi pia ametoa wito kwa serikali sela ya mabadiliko ya tabia ya nchi zilizopo wizara ya kilimo na nishati zifanyiwe mabadiliko kwani aziendani na wakati wa sasa na wizara azina sela za mabadiliko ya tabia ya nchi  ziwekewe ndipo tutafanikiwa kwa kiasi kikubwa. Amesema haya jijini Dar es salaam kwenye kongamano la wadau wa mabadiliko ya tabia ya nchi.

Habari Picha na
Ally Thabiti

PROF. HENRY NAHOO AWAPATANO FORUM CC


Prof. Henry Nahoo kutoka chuo cha kilimo SUA idala ya uwandisi kilimo amewapongeza FORUM CC kwa jitiada wanazozifanya kwa kutoa Elimu, Mafunzo na Mbinu za kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi hapa nchi. Pia kwakufanya ushawishi kwa serikali kuwepo kwa sela kwenye sekta zote na wizara juu ya mabadiliko ya tabia ya nchi amemtaka mgukurugenzi wa FORUM CC Rebeka Muna kutokata tamaa na kutoludi nyuma kwa juhudi anazozifanya kwani viumbe vingi vitanusulika na mahafa yatatokomea pindi jitihada hizi zitakapo fanikiwa

Prof. Henry Nahoo ametoa wito kwa jamii na serikali na asasi za kiraia kuunga mkono juhudi za FORUM CC zidi ya mabadiliko ya nchi.

Habari Picha na
Ally Thabiti

MSHAHULI WA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI HAPAZA SAUTI.


Mshauli wa mabadiliko ya tabia ya nchi amesema sasa niwakti mwafanyaka wa serikali na asasi mbalimbali za kiraia kujadili kwa kina juu ya mabadiliko ya tabia ya nchi lengo kuondoa hathali zinazopatikana kwa sasa ikiwemo kukosekana kwa mvua za wakat, kuongezeka kwa joto na kuwepo kwa magonjwa ya mlipuko kwa binaadamu na wanyama.

Amesema haya kwenye kongamano lililoandaliwa na FOLUM CC jijini Dar es salaam wakati wa kuwasilisha lipoti ya mabadiliko ya tabia ya nchi jinsi hali hilivyo.

Habari Picha na
Ally Thabiti

FORUM CC YAWAKUTANISHA WADAU WA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI


Wadau mbalimbali wamekutana na taasisi ya FORUM CC kujadili mabadiliko ya tabia nchi kama wanavyoonekana pichani.

Habari Picha na
Ally Thabiti

Monday 6 May 2019

BAKWATA YAWAHASA WAFANYA BIASHARA KUHEREKEA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.


Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakari Bin Zuberi amewataka wafanya biashara hapa Nchi Tanzania kutopandisha bizaa zao Bei kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani pia amesema mtu atakaepata taarifa za kuandama mwezi mtukufu wa Ramadhani atoe taarifa kwenye kamati ya mwezi kupitia nambari 0713 247 024 na kwa Sheikh wa Mikoa ya Bakwata.

Habari Picha na

Ally Thabiti

SHEIKH KISHKI AWAFUNDA WAISLAMU


Sheikh Nurdin Kishki amewataka waislamu wa hapa Nchi kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani pindi utakapo handama na waachane na mambo maovu kwani wakifanya hivi watapa Radhi za Allah.

Pia amewataka kufanya ibada na kutekeleza suna za Mtu (SWW) na kusoma Quruan ambako ndiko mwezi huu ilishushwa.

Habari Picha na

Ally Thabiti

MUFTI MKUU WA TANZANIA ATOA NENO LA FARAJA MSIBA WA MENGI


Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakari Bin Zuberi amewataka wafiwa kuwa na moyo wa subila na uvumilivu kwa kifo cha Mzee Abraham Reginand Mengi ambacho kimetokea nchi za ufalume wa Kiarabu (DUBAI).
Pia amewataka Watanzania kuwa na uvumilivu na kuwataka waachane na habari potofu zidi ya kifo cha Mengi, Kwa upande mwengine Mengi alikuwa mtu wa Watu, Mzalendo na alikuwa akitoa miaasada bila ya kujali Dini, Kabila na Rangi.

Habari Picha na
Ally Thabiti