Sheikh Nurdin Kishki amewataka waislamu wa hapa Nchi kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani pindi utakapo handama na waachane na mambo maovu kwani wakifanya hivi watapa Radhi za Allah.
Pia amewataka kufanya ibada na kutekeleza suna za Mtu (SWW) na kusoma Quruan ambako ndiko mwezi huu ilishushwa.
Habari Picha na
Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment