Monday, 6 May 2019

BAKWATA YAWAHASA WAFANYA BIASHARA KUHEREKEA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.


Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakari Bin Zuberi amewataka wafanya biashara hapa Nchi Tanzania kutopandisha bizaa zao Bei kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani pia amesema mtu atakaepata taarifa za kuandama mwezi mtukufu wa Ramadhani atoe taarifa kwenye kamati ya mwezi kupitia nambari 0713 247 024 na kwa Sheikh wa Mikoa ya Bakwata.

Habari Picha na

Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment