Afisa utafiti wa LHRC Joyce Komanya amesema swala la ukataili wa watoto ilimekuwa kubwa hapa nchini Tanzania ambako watoto hao ubakwa na kulawitiwa na hatimae kupata mimba na kukosa masomo.
Ametoa wito kwa Serikali wafute zamana zidi ya watu wanao baka na kulawiti na sheria kali wachukuliwe. amasema haya kwenye uzinduzi wa ripoti ya taasisi ya LHRC jijini Dar es salaam Selena Serena.
Habari Picha na
Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment