Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakari Bin Zuberi amewataka wafiwa kuwa na moyo wa subila na uvumilivu kwa kifo cha Mzee Abraham Reginand Mengi ambacho kimetokea nchi za ufalume wa Kiarabu (DUBAI).
Pia amewataka Watanzania kuwa na uvumilivu na kuwataka waachane na habari potofu zidi ya kifo cha Mengi, Kwa upande mwengine Mengi alikuwa mtu wa Watu, Mzalendo na alikuwa akitoa miaasada bila ya kujali Dini, Kabila na Rangi.
Habari Picha na
Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment