Mkurugenzi wa TGNP MTANDAO Lilian Liundi amesema watazidi kuimalisha jenda klabu shule za msingi na Sekondari kwa kuwapa mafunzo na elimu juu ya kupinga na kukabiliana dhidi ya ukatili wa kijinsia lengo kupata viongozi bola na wasomi huku akiwataka wazazi na walezi kuweza kuwafundisha watoto wao juu ya mabadiliko ya kimwili.
Habari Picha na
Ally Thabiti.
No comments:
Post a Comment