Tuesday, 14 May 2019

MKUU A USALAMA BARABARANI ATANGAZA VITA KALI KWA WATAKAO GOMA.


Mkuu wa usalama barabarani Jeshi la Polisi Fotonatusi Muslim amewataka Madereva waendesha mabasi mikoani kutogoma tarehe 15/5/2019 kwani atakae subutu kufanya mgomo atuakali zitachukuliwa zidi yake kwa upande mwengine tena Kaimu mkurugenzi mkuu wa sumatra Lameck Kamando amesema madai wanayodai madereva wa mabasi juu ya tozo ya V.T.S. hayana mashiko na pia anayeeneza na kusambaza habari hizi za mgomo ni mamluki hivyo amewataka watanzania wote hapa nchi kujitokeza kwenye vituo mbalimbali vya mabasi kwa ajili ya safari zao kani safari zipo kama utaratibu ulivyopangwa siku zote.

Habari Picha na
Ally Thabiti. 

No comments:

Post a Comment