Thursday, 9 May 2019

PROF. HENRY NAHOO AWAPATANO FORUM CC


Prof. Henry Nahoo kutoka chuo cha kilimo SUA idala ya uwandisi kilimo amewapongeza FORUM CC kwa jitiada wanazozifanya kwa kutoa Elimu, Mafunzo na Mbinu za kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi hapa nchi. Pia kwakufanya ushawishi kwa serikali kuwepo kwa sela kwenye sekta zote na wizara juu ya mabadiliko ya tabia ya nchi amemtaka mgukurugenzi wa FORUM CC Rebeka Muna kutokata tamaa na kutoludi nyuma kwa juhudi anazozifanya kwani viumbe vingi vitanusulika na mahafa yatatokomea pindi jitihada hizi zitakapo fanikiwa

Prof. Henry Nahoo ametoa wito kwa jamii na serikali na asasi za kiraia kuunga mkono juhudi za FORUM CC zidi ya mabadiliko ya nchi.

Habari Picha na
Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment