MOSES LUKOO afsa mawasiliano wa kampuni ya JATU amesema vijana wa kitanzania wachangamkie fursa kwenye sekta ya kilimo pia amewataka wale wote watanzania wajiunge na JATU kwani kampuni hii ni ya kizarendo na inasaidia katika kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla na inasaidia kujenga Afya na kutokomeza umaskini mpaka sasa kampuni ya JATU ina mwaka mmoja na inajumla ya wanachama 1178 na kampuni hii inashuurika na arzeti na kuuza unga wa dona na sembe kwa ujazo mbalimbali amezungumzia changamoto wanazokutana nazo mtaji na dhana potofu za watanzania kwakuto iamini kampuni hii ya JATU Ametoa wito kwa serikali waisaidie kampuni ya JATU kwakupewa mtaji wa kutosha
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment