DEVOTA LIKOKORA amesema maagizo alio tyatoa waziri wa fedha na mipango FILLIPU MPANGO wameyapokea na watayafanyia kazi maagizo hayo yakiwemo kulipa kodi na kufuatilia miradi yote amesema wana vikoba wote wanamuunga mkono waziri wa fedha kwa utendaji wake wa kazi na wamempongeza kwa kupigania sera ya maikofenense kwa atua ilipo fikia mpaka kufika mwaka 2018 kuwa sheria rasmi kwani itawasaidia kwa kiasi kikubwa kuendesha taasisi zao za kifedha bila vikwazo ametoa wito kwa wadau wa kilimo na fedha nivema waungane na kuwa kitu kimoja pamoja na kushirikiana kwaajili ya kukuza sekta za kilimo na fedha lengo kukuza uzalishaji wa mazao na uchumi wa nchi
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment