Monday, 10 July 2017

BODI YA UTALII TANZANIA IMEWATAKA WATANZANIA WAJITOKEZE KWA WINGI KWENYE MAONYESHO YA 41 YA SABASABA

Meneja utafiti GRADSTON FAMILI MLAI amesema watanzania wajitokeze kwenye maonyesho ya 41 ya  sabasaba wajionee Wanyama hai na sabasaba ikimalizika pia watembelee vivutio mbalimbali vya utalii kwani kufanya ivyo watasaidia kuongezeka kwa pato la Nchi na mwaka huu kuwaona wanyama hai kwenye maonyesho ya 41 ya sabasaba ni shilingi1000 kwa mkubwa na mtoto ni shilingi 500 lengo la kutowa pesa izo ni kwaajili ya kuboresha wanyama hai hao na kuwaleta kwa wingi

habari picha na  ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment