JOSEFU BUTIKU mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya mwalimu nyerere na mwenyekiti wa asasi za nchi12 za maziwa makuu ya Afirika amesema arizishwi na vita zinazo tokea kwenye nchi za kusini mwa Afrika kwani zinasababisha kufa kwa watu, kuongezeka kwa wakimbizi na watu kupata ulemavu wa aina mbalimbali ivyo amewataka viongozi wa SUDANI YA KUSINI, DEMOKRASIA YA KONGO ,SOMARIA na nchi zinginezo wafuate misingi ya demokrasia , kanuni ,sheria na utawara bora kwani wakifanya ivyo wataondoa migogoro iliyopo JOSEFU BUTIKU amesema haya kwenye mkutano wa siku 2 unaofanyika jijini Dar es salaam kwenye hotel ya NEW AFRIKA ametoa rai kwa asasi za nchi hizi kuongeza jitiada katika kutoa elimu kwa wananchi na viongozi na washirikiane na serikali katika kubolesha misingi ya utawara bora
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment