Dokta MAGRETI MSONGANZIRA mwadhiri mwandamizi wa chuo cha ushirika Moshi amesema gharama za kusoma kwa wana ushirika ni kikwazo kikubwa kwao ndio maana wanashindwa kwenda kusoma mafunzo ya ushirika pia kutokana na umbali wa ofisi zao wanashindwa kwenda kupata mafunzo ameishauri tume ya chuo cha ushirika kutekeleza kwa vitendo bajeti iliyopangwa kwaajili ya wana ushirika kupata elimu wakifanya ivyo itawasaidia wana ushirika ususani wakulima kwa kuongeza tija ya uzalishaji katika kilimo na kusaidia kupata kipato na kukua kwa uchumi wa Tanzania amesema haya kwenye maonyesho ya vyuo vikuu eneo la Mnazi mmoja wilaya ya Ilala jijini dar es salaam amewatoa ofu watanzania kuwa chuo hiki cha ushirika bado kinatoa elimu na mafunzo kwa ngazi ya chini kama awali chuo cha ushirika moshi kina jumla ya mataqwi 13 kwenye mikoa ya Tanzania bara na kina wanafunzi 4500
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment