ABDALA MUAMEDI MAAMBA meneja uparesheni wa kampuni ya ZURCHI amezema lengo nla kuleta bima ya Afya wote ni kuwasaidia wananchi wa kipato cha chini na kawaida amewataka watanzania wajiunge na Bima ya Afya wote kwa shiluingi laki moja na sabini na nne kwa mwaka zaidi ya wananchi 3000 wamejiunga Pia wanamuunga mkono rais MAGUFULI kuelekea Tanzania ya viwanda
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment