JEMSI LIZOMBA wakampuni ya ECOBOXI amesema wamekuja na mfumo mpya wa kutibu maji machafu na kutumika tena katika uoshaji magari, kumwagilia bustani na kusafishia chooni lengo ni kuondoa uchafuzi wa mazingira kwa maji taka ndio maana wamekuja na jibu maji haya kutumika tena ambako itasaidia kupungua ugonjwa wa kipindupindu na kunusulu uchafuzi wa vyanzo vya maji JEMSI LIZOMBA amesema ofisi zao zinapatikana Mikocheni kwa Warioba
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment