TANDIWE PITA amesema chuo chao cha BUGANDO kinajivunia kwa kutoa elimu bora ya sayansi na tiba ivyo ameiomba serikali kuwapa mikopo wanafunzi wa vyuo binausi wanajivunia kuwa na mafanikio makubwa ya kuongeza waitimu mwaka hadi mwaka pia tafiti zao zinaongezeka na zinasaidia kwa kiasi kikubwa kutatua matatizo ya kiafya Tanzania ameiasa jamii wawaamasishe vijana wao kupenda kusoma masomo ya sayansi na tiba na wawapeleke chuo cha bugando kwani ni chuo bora zaidi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment