Naibu waziri wa wizara ya nishati na madini amewatakia masomo mema vijana 20 wanaoenda kupata mafunzo nchini CHINA kwenye sekta ya mafuta na gesi ivyo amewasii waitumie fursa walioipata kwa kwenda na wazingatie mafunzo watakayo pewa kwani inatija kwao na taifa kwa ujumla lengo la kuwapeleka vijana hawa serikali inataka kuondoa gharama za kuwatumia wataalam kutoka nje ya nchi kwenye sekta ya mafuta na gesi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment