Kaimu mkurugenzi wa masoko wa Tigo WILIAM MPINGA amesema lengo la kudhamini tamasha kubwa ;la FIESTA N ni kuwawezesha wasanii kiuchumi na kuwafikishia wananchi huduma na bidhaa za tigo kwa ukaribu na uraisi zaidi kaimu mkurugenzi wa masoko wa tigo WILIAM MPINGA amesema tamasha la fiesta mwaka huu 2017 limeongezewa hadhi ya kuitwa TIGO FIESTA lengo nikuonesha jinsi gani tigo wanavyolijali na kulithamini tamasha la fiesta na wananchi kwa ujumla ametoa rai kwa jamii na wasanii kutumia vizuri na vyema fursa ya TIGO FIESTA kwani watanufaika kiuchumi
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment