Wednesday, 23 August 2017

WAENDESHA BODABODA WAPIGWA MKWARA MZITO

Chama cha kutetea abilia  CHAKUWA  chawataka waendesha bodaboda kutii sheria bila shuluti kwani wakifanya ivyo watapunguza ajali nyingi zinazotokea  pia abilia nao wameaswa wasiwe chanzo cha ajali

habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment