Meneja masoko wa kampuni ya kuuza viwanja LUSAJO KONDOBOLE amesema wamekuja na mfumo wa kununua viwanja wateja wao kwanjia ya intaneti lengo ni kuondoa utapeli,usalama wa viwanja na pese za wateja wao pia kuokoa muda na gharama za kufuatilia manunuzi ya kiwanja na kuepukana na matapeli ametoa rai kwa watanzania wawaunge mkono kwa asilimia100 Wana mradi MBONDOLE CHANIKA na MAWENI TANGA
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment