GWAMWAKA MWAGUKA nikiongozi wa harakati za lucy amesema miaka miwili iliopita walikuwa wanaenda kwenye shule za secondary kutoa elimu juu ya afya ya uzazi lengo ni kuwasidia watoto wa kike kutokosa elimu kwaajili ya mimba za utotoni na kutofanya vizuri kwaajili ya edhi wameweza kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kutoa elimu kwenye mikoa 8 ikiwemo jijini Dar es salaam changamoto walizokuwa wanakutana nazo ukosefu wa fedha ivyo baada ya kupata milioni 15 kutoka UNFPA kazi yao ya uelimishaji itaongezeka zaidi na amempongeza kaimu mwakilishi mkazi wa UNFPA dokta ASHINA BEGA na watendaji wake wote kwa kuja na wazo zuri ametoa rai kwa taasisi mbalimbali na serikali kufadhili vijana kama wao wanao saidia Taifa Pia ametoa wito kwa jamii kuachana na mira na desturi potofu na kandamizi zidi ya mtoto wa kike
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment