MBUDIFO
Wednesday, 23 August 2017
BASATA YABARIKI TAMASHA KUBWA LA TIGO FIESTA
MRISHO MRISHO ni mwakilishi kutoka baraza la sanaa Tanzania BASATA amesema baraza limetoa kibali kuwepo kwa tamasha la TIGO FIESTA na wanaunga mkono kwa asilimia zote kwani tamasha la TIGO FIESTA lina tija kwa wasanii na Taifa kiuchumi na kwa maendeleo na wapo pamoja nao kwa msaada wowote
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment