Wednesday, 23 August 2017

JESHI LA POLISI LAAHIDI KUTOA ELIMU KWA WAENDESHA BODABODA

Kamishna msaidizi wa jeshi la polisi Tanzania ameaidi kuendelea kuwapa elimu waendesha bodaboda  Tannzania  lengo kuondoa vifo na majerui kwa waendesha bodaboda na abilia amewataka waendesha bodaboda kuijali na kuithamini kazi ya bodaboda kwani ni ajira kama ajira zingine na inawaletea kipato kikubwa amemalizia kwa kuwapongeza waandaaji wa kipindi cha bodaboda

habari picha na  ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment