Wednesday, 23 August 2017

JAMII YA KITANZANIA YAKIWA KUACHA MIRA NA DESTUL POTOFU

ERIZABETI KWAYU amezitaka jamii za kitanzania waachane nmiranadestuli potofu juu ya mtoto wa kike ambako jamii kubwa ya kitanzania inaamini kuwa mtoto wa kike yupo kwaajili ya kuolewa ambacho kitu ichi sio kweli kwani yeye mtoto wa kike amepiga atuwa kubwa baada ya kusoma  na sasa anaelekea nchini JAPAN kwaajili ya kujiendeleza kimasomo pia ana kampuni yake ya ushonaji nguo za aina mbalimbali jijini MBEYA ametoa ujumbe kwa watoto wa kike wasome kwa bidii na wapuuze miranadestuli potofu zidi yao amesema haya kwenye mkutano uliofanyika kwenye hotel ya PROTEA jijini Dar es salaam

habari picha na VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment