LUKIA SHAMTE ni mdau wa chama cha forodha amekipongeza chama cha forodha nchini Tanzania kwa kuandaa na kuwaleta wataalam wa forodha kwenye mkutano mkubwa kwani watanufaika kwa kupata utaalam mbalimbali ivyo changamoto za kuchelewa mizigo bandarini na kulundikana kwa meli itabaki kuwa istoria kupitia wataalam waliopo kwenye mkutano huu LUKIA SHAMTE amewaasa wauzuliaji wa mkutano watumie fursa vizuri kutoka kwa wataalam kwani tija kubwa itaonekana kwa mawakala na serikali kwakuwa gharama zitapungua na muda pia na pesa zitakazo bakia zitapelekwa kwenye maendeleo mengine ya kijamii
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment