Saturday, 12 August 2017

CUF YAWATAKA WANA HABARI KUTOA HABARI KWA UWEREDI

Naibu mkurugenzi wa mawasiliano na habari wa chama cha CUF  amewataka wana habari watoe taarifa asa za mahakamani kwa uweredi zaidi amesema haya baada ya vyombo vya habari kutoa taarifa kuwa shauri lao walilopeleka mahakamani limetupiliwa mbali jambo sio la kweli kuusu wale wabunge8 na madiwani 2 waliovuliwa nyadhifa zao na mwenyekiti LIPUMBA  na kusema mchakato wa kesi yao unaendelea mahakamani


habari picha na  ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment