Pichani kaimu mwakilishi mkazi wa UNFPA dokta ASHINA BEGA katikati akikabizi zawadi ya shilingi milioni 15 fedha ya kitanzania sawa na dola 6000 kwa mshindi wa kiongozi waliotengeneza HAKATI ZA LUCY GWAMWAKA MWAGUKA mwakilishi wa umoja wa mataifa tanzania akimpa mkono mshindi
No comments:
Post a Comment