Rais wa kwanza wa bunge la afrika mama GETRUDI MONGERA amewataka wanawake wa kiafrika walete mapinduzi ya kiuchumi katika bara la Afrika lengo waondokane na ukandamizwaji na mila potofu dhidi yao amesema haya jijini Dar es salaam nchini Tanzania kwenye mkutano wa siku4 uliofanyika kwenye hotel ya KILIMANJARO POSTA ametoa wito kwa jamii ihachane na dhana potofu dhidi ya mwanamke
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment