Wednesday, 23 August 2017

MKURUGENZI WA UTAWARA NA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU ATOA NENO KWA WANAOENDA KUSOMA NJE

Mkurugenzi wa utawara na usimamizi wa rasilimali  wa wizara ya nishati na madini amewataka vijana wapatao 20 wanaoenda CHINA kujifunza maswala ya mafuta na gesi waitumie nafasi hii vizuri kwaajili ya kuiletea nchi ya Tanzania manufaa makubwa kwenye sekta ya mafuta na gesi na wakipata mafunzo haya wasiende nchi nyingine kufanya kazi hii wakifanya ivyo wataisababishia serikali asala kubwa ametoa wito kwa vijana wa kitanzania kusoma masomo ya sayansi kwani tutaondokana na uhaba wa wataalam wa mafuta na gesi 

habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment