HAMIN HABIB ni mkurugenzi wa kampuni ya PLASCON amesema licha ya kampuni yao kubadilisha jina aitoleta athali wala mabadiliko kwa wafanya kazi na watendaji wake bali utendaji wa kampuni yao utakuwa wakifanisi zaidi na kutakuwepo na matumizi ya kiteknorojia ya kisasa kampuni yao ni ya kumi duniani na kwa Afrika ni ya kwanza katika kutoa huduma bora na zenye tija Miongoni mwa nchi ambazo zinanufaika na huduma zani Tanzania,zambia , nigeria , afrika kusini , msumbiji na zinginezo ametoa wito kwa wateja wao wazidi kutumia huduma zao
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment