BENI kutoka mkoani Dodoma amesema wanaitaka serikali iwakatie bima vijana lengo waweze kupata uhakika wa matibabu Pia amezitaka taasisi mbalimbali pamoja na serikali ziwape nafasi vijana katika upangaji na utoaji wa maamuzi ya kimaendeleo wawape nafasi vijana wenyewe ili waweze kutatua changamoto zinazowakabili amesema haya kwenye mkutano wa kitaifa wa vijana wa siku 3 ambao umefanyika kwenye ukumbi wa mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment