Afsa mauzo wa mfuko wa ifadhi ya jamii NSSF SAIDI SILAJI amesema wao wanamuunga mkono rais MAGUFULI kwa kuelekea Tanzania ya viwanda kwani wanajenga kiwanda kikubwa cha sukari mkoani morogoro eneo la MKURAZI lengo kuondoa hadha ya sukari na kuongeza ajira kwa vijana wa kitanzania pia ameeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa nyumba za makazi ya watu eneo la mtoni KIJICHI na KILUVYA za kisasa na bei nafuu
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment