Doktar SALA kutoka chuo kikuu cha Ardhi amesema uwatembelea wanafunzi kwenye shule za sekondari kwaajili ya kuwaelimisha kupenda kusoma ya Ardhi na kuazisha proglam mbalimbali na kuamasisha wananchi wawatumie wataalam wa ardhi hii ndio mikakati waliojiwekea lengo ni kutatua migogoro ya ardhi hapa nchini amewasii wanafunzi wapende kusomea maswala ya ardhi na wale wenye sifa wajiandikishe kwenye chuo cha ardhi kwani tarehe 30/8/2017 ndi mwisho wa kujiandikisha
habari picha na VICTORIA STANSRAUS
No comments:
Post a Comment