Kampuni ya ABC ATTORNEYS ni kampuni ya kisheria ambayo inatoa msaada wa kisheri bure lengo lao kuondoa migogoro wakati wa ujenzi ususani upande wa Ardhi Mwanasheria DAKIRA amesemakampuni yao baada ya kufanya utafiti wa kutosha wakagungua upande wa ujenzi kuna migogoro mingi sana ndio maana wameamua kutoa msaada wa kisheria bure tena wamefungua tovuti yao kwaajili kwaajili ya kupata msaada wa kisheria bure na ofisi zao zinapatikana Mbezi biichi na jijini Arusha na sasa wapo mbioni kufungua ofisi zao Mwanza na Dodoma
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment