Mkurugenzi NAIKE wa kampuni ya CVPEOPLE AFRIKA amesema kampuni yake ambayo inajishuulisha na kuunganisha watu wanaotafuta kazi na wanao ajili ivyo kupitia mkutano huu wameweza kunufaika kwa kiasi kikubwa katika kupata surluisho la ajira kwa watoto wakike wa kitanzania kwenda kufanya kazi nchi za nje pia amenufaika kwa kupata muunganiko na watu wa sekta mbalimbali Pia waliojifunza kwenye mkutano huu wa siku4 wataenda kuwaelimisha wanawake wenzao na jamii kwa ujumla ametoa wito kwa serikali kubadili sera na sheria kandamizi dhidi ya mwanamke ikiwemo umiliki wa ardhi,sheria ya mirathi na zinginezo ameiasa jamii kuachana na mila na destuli potofu dhidi ya mwanamke na ametoa rai kwa wanawake wa kitanzania wachangamkie fursa mbalimbali za kimaendeleo na kiuchumi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment