Afsa mtendaji wa dawasco SIPIRIANI LUWEMEJA ameaidi kuwa wakazi wa dar es salaam wataondokana na adha ya maji kwani dawasco wametenga shilingi bilioni 23 kwaajili ya kuondoa mitambo iliochakaa na mpaka sasa wameweza kupunguza umwagikaji wa maji kutoka asilimia 55 adi asilimia 38 na ifikapo mwezi wa9 tatizo la maji jijini Dar es salaam alitakuwepo ametoa rai kwa jamii watoe taarifa kwa wakati dawasco na wawe karibu nao
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment