Katibu mkuu wa mawakala wa forodha TONI SWAI ameipongeza serikali kwa kutoa bilioni2.5 kwaajili ya utanuzi wa bandari ya Dar es salaam kwani itawawezesha mawakala wa forodha kufanya kazi kwa alaka ,ubora na ufanisi zaidi kwani akutakuwa na foleni kwenye utoaji mizigo bandarini na kuondoa foleni za meli amesema haya kwenye mkutano wa kimataifa wa siku3 uliojumuisha mawakala wa forodha wapatao 250 kutoka nchi mbalimbali pia amempongeza waziri mkuu kwa uboleshaji wa bandari ya Dar es salaam ambae kawakilishwa na waziri wa ujenzi na uchukuzi porf MAKAME MBARAWA akiwa mgeni rasmi ametoa wito kwa mawakala wa forodha kutekeleza kwa vitendo maagizo ya serikali . yeye katibu mkuu wa mawakala wa forodha TONI SWAI ameaidi kutekeleza kwa vitendo mkutano umeanza tarehe23/8/2017 na utamalizika 26/8/2017 kunduchi kwenye hotel ya RAMADA jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment