Mdau wa vijana STERA MANDA amewataka vijana wa kitanzania mfumo wa vyama vingi usiwagawe vijana badala yake watie nguvu katika kujenga umoja wao ili wafikie malengo ametoa rai kwa vijana watumie fursa zilizopo nchini Tanzania ili watatue changamoto zinazo wakabili kama Ajira na afya amesema haya kwenye mkutano wa kitaifa wa vijana ambao umefanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam jumla ya vijana 180 wameshiriki kutoka mikoa mbalimbali
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment